Mabibi na mabwana… ile single mpya ya Ay ft. Sean Kingston imetoka, isikilize hapa
Ay
ametimiza ahadi yake ya kuiachia ile kolabo yake na Sean Kingston
ambayo hivi karibuni ndio ilimpeleka Marekani kwenda kufanya video na
mkali huyu wa dunia.
Jisikie huru kubonyeza hapa ili kuisikiliza hii new single >>> HAPA
No comments:
Post a Comment