
Waendesha
bodaboda wa Arusha leo wamejikuta kwenye jukumu la daladala kusafirisha
abiria baada ya mgomo wa daladala uliofanywa leo maeneo ya mji huo
sababu ikitajwa ni kuanzishwa kwa
route mpya wanayotakiwa kuanza hivi sasa kutoka Njiro na Moshono kuelekea mjini.
Wakazi wengi wa mji huo leo wamelazimika kutembea kwa miguu huku wengine wenye uwezo wakitumia usafiri wa bodaboda.
Ripota wa Blog ya Michuzi ambaye ameripoti kuhusu story hii amesema yeye pia alikuwa mmoja ya walioathirika kutokana na mgomo huo
No comments:
Post a Comment